Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Kama mmeamua kufa na tai shingoni sio mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila poleni sana
Hahaaah sasa mkuu msanii kama wewe humpendi akitokea mtu kumpenda ndo kufa na tai shingoni...unataka wote tupende nyegee kama wewe...or we unavyopenda kuimba nyegeee ndo unakufa na tai shingoni
 
nimepoteza bando langu bure kumbe ni yale masebene yake ya siku zote abadilike jamani
Sisi washabiki wake ndo tunapenda hayo masebene...nyie msiompenda muziki wake nendeni kule kaimbeni nyegeeee huku mnacheza michezo ya umber ruty
 
hakuna biashara ya bure ww jezi za costal kuandikwa mofaya ana percentage yake sio lazma apate pesa kupitia mshahara
Sasa kumbe ni biashara,kwa hiyo ulikuwa unashangaa nini mtu kufanya biashara mbili mziki na mpira
 
Hahaaah sasa mkuu msanii kama wewe humpendi akitokea mtu kumpenda ndo kufa na tai shingoni...unataka wote tupende nyegee kama wewe...or we unavyopenda kuimba nyegeee ndo unakufa na tai shingoni
Bado na kwenye mpira kuna siku huyu kibakuli atakimbia na mpira kwapani [emoji38][emoji38]
 
Alikiba yoooo ,,mchizi wa getho cjui nini na ninii ,kuna kitu kafeli ,anaimba tu kwa sababu ana mashabiki ,sio kutafta mashabiki
 
Mi ngekua kibakuli ningechill,mbona kina skwiza wamechill na hawajapungukiwa kitu?
 
Back
Top Bottom