AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
anajaribu kupita mule muleee
Dah! Nimeisikiliza... ni bonge la ngoma! Na kwa hili pini, am sure Davido atapata wakati mgumu sana manake mistari yake kwenye collabo na Kiba, itabidi Davido awe anafanya kazi ya kurudia rudia mistari na melody kila wakati kwa hofu ya kufunikwa! Sasa Kiba sijui kwanini alikosa kujiamini manake kwenye muziki, ukiona ngoma inavuja ni kwamba mwenye nayo amekosa kujiamini kui-release kikawaida ili hata watu wakiiponda, atasingizia ngoma ilikuwa haijakamilika sema tu ilivuja kabla ya so and so!!!
Big Up King!!
hili songi la kawaida? bado hapo davido,navuta picha davido na sauti yake na hii beat,itakuwa balaa,aaah asingeuvujisha uwe supriseKiba ni kama anapita mule mule analipipita Chibu
Kila kheri ila songi la kawaida sana kama anataka kulitumia kutobolea kimataifa
Cheketua ni balaa
kwahiyo nye huwa ndo mbinu zenu?Eti na yeye anatumia stunts za kuvujiaha nyimbo... Come on we need new ideas
ThechoiceTANZANIA - Music - HulkShareLink iko wapi wakuu?
mpe credit bhana ngoma ya ukweliHamna kitu pumba tupu