Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.

Hongera kingkiba.

http://www.jimmcarter.com/2015/07/usikilize-huu-wimbo-wa-alikiba.html
 
Dah! Nimeisikiliza... ni bonge la ngoma! Na kwa hili pini, am sure Davido atapata wakati mgumu sana manake mistari yake kwenye collabo na Kiba, itabidi Davido awe anafanya kazi ya kurudia rudia mistari na melody kila wakati kwa hofu ya kufunikwa! Sasa Kiba sijui kwanini alikosa kujiamini manake kwenye muziki, ukiona ngoma inavuja ni kwamba mwenye nayo amekosa kujiamini kui-release kikawaida ili hata watu wakiiponda, atasingizia ngoma ilikuwa haijakamilika sema tu ilivuja kabla ya so and so!!!

Big Up King!!
 
Yah mkuu hii ngoma ni hatari sana ilitakiwa iwe ni official release kabisa na kukamata chats za top10
 
I wish huo wimbo ndo amshirikishe davido maana wa ukweli mno
 
Eti na yeye anatumia stunts za kuvujiaha nyimbo... Come on we need new ideas
 
Kiba ni kama anapita mule mule analipipita Chibu

Kila kheri ila songi la kawaida sana kama anataka kulitumia kutobolea kimataifa

Cheketua ni balaa
 
Kiba ni kama anapita mule mule analipipita Chibu

Kila kheri ila songi la kawaida sana kama anataka kulitumia kutobolea kimataifa

Cheketua ni balaa
hili songi la kawaida? bado hapo davido,navuta picha davido na sauti yake na hii beat,itakuwa balaa,aaah asingeuvujisha uwe suprise
 
Back
Top Bottom