Laiti ungejua alichomaanisha huyo uliyemquote!!!! Hata usingemjibu hivi.Yah mkuu hii ngoma ni hatari sana ilitakiwa iwe ni official release kabisa na kukamata chats za top10
Laiti ungejua alichomaanisha huyo uliyemquote!!!! Hata usingemjibu hivi.
Basi tu wachache kama sisi ndio tunaoelewa fitna kama hizo.
#HatersGonaHate
Goma limegeuka kuwa hit halafu we unasema ya kawaida?!yakawaiida
Save your energy my angel, ngoma mzuri huwa haivuji hata siku moja bali huwa released!!!Link iko wapi wakuu?
Jamaa kaweka tu demo...mapovu yanawatoka eti kavujisha daah wabongo bana
THE ONE MAN ARMY. kiba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unavituko we jamaa tuzo zote hizo???kama MWANA ilizoa tuzo 6. huu mpini utazoa tuzo 20.nukta