Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Laiti ungejua alichomaanisha huyo uliyemquote!!!! Hata usingemjibu hivi.Yah mkuu hii ngoma ni hatari sana ilitakiwa iwe ni official release kabisa na kukamata chats za top10
Basi tu wachache kama sisi ndio tunaoelewa fitna kama hizo.
#HatersGonaHate