Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Acha umasikini wa mawazo demo, inabadili asimia ngapi ya alichokiimba ikifanyiwa mastering???

WIMBO MBOVUUU

sa mishipa ya shingo inakutoka ya nn??.....yeye ni wa kwanza bongo??.......dai si alishafanya kwenye mdogo mdogo....mkasema kapotea...alivyokuja kuutoa official si mlikubali??...au wimbo wa nasema nawe.......kufanya kiba ni kosa......daaa mitanzania ina roho mbaya.....
 
Hahahaaaaa, mkuu unatumia mtandao gani nikutumie kifurushi hata cha week 1 tu?
Maana umenifurahisha sana ulivyomchana huyo popoma.
 

Tatizo umepaniki hahahahaha

Diamond hatukuwahi kumponda kwa hizo nyimbo labda kwa kuvujisha ila si vinginevyo.. yani yule jamaa anajuwa hata demo ya mluzii tu kiitikio lazima iwe hit Africa nzima

SIO KWA UTUMBO HUO
 
Hahahaaaaa, mkuu unatumia mtandao gani nikutumie kifurushi hata cha week 1 tu?
Maana umenifurahisha sana ulivyomchana huyo popoma.

Kwahiyo shudu aliloandika limekufuta machozi ya post yangu hahahahahah

YANI HAYO NI MATUSI KWA MZIKI WA BONGO FLAVOUR UPUUZI MTUPU
 
we mdada unajitahidi sana kumsuport kiba ila anakuangusha kwa kutoa ngoma mbovu
pole sana
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu (Sapoti yangu kwa King Kiba).Kiba mwenyewe ananijua mie nifah na ananikubali sana tu... teh teh teh

Kuhusu kuniangusha hapo umekosea sana, unaweza kuniambia ni wimbo gani mbovu alioutoa King Kiba?
Tokea nimeanza kuwa mfuasi wa kimuziki wa Kiba yapata miaka 10 sasa hajawahi kuniangusha hata wakati mmoja.
Ndio maana namkubali namna hii.
 
Last edited by a moderator:
we mdada unajitahidi sana kumsuport kiba ila anakuangusha kwa kutoa ngoma mbovu
pole sana
Kila mtu ana Uhuru ku suport akipendacho kiwe kizuri au kibaya ni Uhuru wake kikatiba.
After all, watu wametofautiana ukionacho we we kizuri kwa mwingine ni kibovu. And virse versa is true. Nadhani wengi wangekua waelewa kusingekua na ujinga wa personal attack.
#HatersGoneHate .
 

Usingemjibu kwakuwa vitu vizuri havijui. ... ni mwaka mmoja tu tangu king arudi na ngoma mbili tu. .chupi zinawabana. ..mara utawasikia nyimbo za kiba nzuri ila video mbovu mara video kali ila siyo kivile
 
Usingemjibu kwakuwa vitu vizuri havijui. ... ni mwaka mmoja tu tangu king arudi na ngoma mbili tu. .chupi zinawabana. ..mara utawasikia nyimbo za kiba nzuri ila video mbovu mara video kali ila siyo kivile
nakuambia huu wimbo akimshirikisha davido itakuwa bongo la hit
 
Mkuu mbna ahadi yako hujatimiza tunasubiria utimize ahadi ni deni
 
One man army angekuwa anawakimbilia Kuwapigia magoti Ma ex wa Diamond wa mpe support??? Naona sahivi jokate tumemnyoooooooosha na mwwnzake michirizi hawana amani kabisa wametulia kama maji ya mtungi


MTANYOOOKAA TU..

Humjui kiba wewe. ..msome hivyohivyo magazetini. ..wewe kwa akili yako ndogo ya kibikira wa kisukuma mtajichomeka kwa vineno tumemnyoosha sijui nini kudhani mpo kwenye hili beef hili battle si ally vs nasib pekee. ...waangalie nyuma zao kuna kina nani na wanafanya nini mjini. ..
 
hebu sikiliza huu wimbo,halafu sikiliza diamond,yaani diamond ukisikia beat tu unapoteza mood mazima
 
raha yake unadance na mke wa mtu,mara anasema ''VIOL NATAKA KWENDA NYUMBANI MME ATAMIND'',halafu namjibu ''usikonde kata mauno nitakusindikiza nimepaki nje''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…