Laiti ungejua alichomaanisha huyo uliyemquote!!!! Hata usingemjibu hivi.
Basi tu wachache kama sisi ndio tunaoelewa fitna kama hizo.
#HatersGonaHate
Acha kujifariji Kafanya madudu kufukuzwa nyumba kumempa stress mpaka anafanya madudu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti ungejua alichomaanisha huyo uliyemquote!!!! Hata usingemjibu hivi.
Basi tu wachache kama sisi ndio tunaoelewa fitna kama hizo.
#HatersGonaHate
Acha umasikini wa mawazo demo, inabadili asimia ngapi ya alichokiimba ikifanyiwa mastering???
WIMBO MBOVUUU
Nonsense!Acha kujifariji Kafanya madudu kufukuzwa nyumba kumempa stress mpaka anafanya madudu..
Hahahaaaaa, mkuu unatumia mtandao gani nikutumie kifurushi hata cha week 1 tu?sa mishipa ya shingo inakutoka ya nn??.....yeye ni wa kwanza bongo??.......dai si alishafanya kwenye mdogo mdogo....mkasema kapotea...alivyokuja kuutoa official si mlikubali??...au wimbo wa nasema nawe.......kufanya kiba ni kosa......daaa mitanzania ina roho mbaya.....
Hahahaaaaa, mkuu unatumia mtandao gani nikutumie kifurushi hata cha week 1 tu?
Maana umenifurahisha sana ulivyomchana huyo popoma.
sa mishipa ya shingo inakutoka ya nn??.....yeye ni wa kwanza bongo??.......dai si alishafanya kwenye mdogo mdogo....mkasema kapotea...alivyokuja kuutoa official si mlikubali??...au wimbo wa nasema nawe.......kufanya kiba ni kosa......daaa mitanzania ina roho mbaya.....
Hahahaaaaa, mkuu unatumia mtandao gani nikutumie kifurushi hata cha week 1 tu?
Maana umenifurahisha sana ulivyomchana huyo popoma.
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu (Sapoti yangu kwa King Kiba).Kiba mwenyewe ananijua mie nifah na ananikubali sana tu... teh teh tehwe mdada unajitahidi sana kumsuport kiba ila anakuangusha kwa kutoa ngoma mbovu
pole sana
Kila mtu ana Uhuru ku suport akipendacho kiwe kizuri au kibaya ni Uhuru wake kikatiba.we mdada unajitahidi sana kumsuport kiba ila anakuangusha kwa kutoa ngoma mbovu
pole sana
Kila mtu ana Uhuru ku suport akipendacho kiwe kizuri au kibaya ni Uhuru wake kikatiba.
After all, watu wametofautiana ukionacho we we kizuri kwa mwingine ni kibovu. And virse versa is true. Nadhani wengi wangekua waelewa kusingekua na ujinga wa personal attack.
#HatersGoneHate .
nakuambia huu wimbo akimshirikisha davido itakuwa bongo la hitUsingemjibu kwakuwa vitu vizuri havijui. ... ni mwaka mmoja tu tangu king arudi na ngoma mbili tu. .chupi zinawabana. ..mara utawasikia nyimbo za kiba nzuri ila video mbovu mara video kali ila siyo kivile
Hiyo ishakua expired bwana, habari ya mujini ni collabo ya King Kiba & DavidoMkuu mbna ahadi yako hujatimiza tunasubiria utimize ahadi ni deni
One man army angekuwa anawakimbilia Kuwapigia magoti Ma ex wa Diamond wa mpe support??? Naona sahivi jokate tumemnyoooooooosha na mwwnzake michirizi hawana amani kabisa wametulia kama maji ya mtungi
MTANYOOOKAA TU..
Hiyo ishakua expired bwana, habari ya mujini ni collabo ya King Kiba & Davido
Van Vicker wa nini kwetu sisi?Kwani Kiba anaigiza movie siku hizi?Mnapambana sijui van vicker atakuepo kutoa support
Hiyo ishakua expired bwana, habari ya mujini ni collabo ya King Kiba & Davido