Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Linyimbo la ovyo kabisa hapo bado atasubiri sana kwa Baraka da prince.
 
Aisee nimeickiliza kiba kavunja kidogo beat iko mzuka yan chekecha cha mtotooo kitu school baby shiiiiiiiity huu ndo ubunif tunaoutaka bhana!!
 
Ko wanao download,wanachukua bidhaa gani so kama itakuwa shame kwa producers kama vitu kibao havijakamilika
 
Dude kali balaaa Nimependa hapo anasema .......father......
 
Navy kenzo ft V money GAME ....now hii ndio hit single ya kuijadili
 
Huu wimbo ni wakawaida labda kwakuwa ni demo!

Haujafika viwango vya nyimbo zake mbili zilizo pita labda kama utaboreshwa halafu autoe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…