Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Kama unamaanisha hiyo demo aliyoachia Kiba leo bado sijaipata mkuu, na kama ni hiyo collabo bado haijatoka.
Nlitaka hiyo demo wngu, it's okay I understand.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unamaanisha hiyo demo aliyoachia Kiba leo bado sijaipata mkuu, na kama ni hiyo collabo bado haijatoka.
Poa poa mkuu.Nlitaka hiyo demo wngu, it's okay I understand.
Kama unamaanisha hiyo demo aliyoachia Kiba leo bado sijaipata mkuu, na kama ni hiyo collabo bado haijatoka.
Linyimbo la ovyo kabisa hapo bado atasubiri sana kwa Baraka da prince.
Poa, Sumve 2015 cheki na huyu akutumie. ..Mwambie anitumie no. Nimtumie kiukwel kiba shiiiiidah
Punguza nchencheko mwanajamii,bado Kiba anaitaji sapot aweze kufika mbali na sio kutoka hisia zako hadharani..?!.Linyimbo la ovyo kabisa hapo bado atasubiri sana kwa Baraka da prince.
Weka link vizuri tuusikilize ili tuweze kujadili vyema!Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.
Hongera kingkiba.
http://www.jimmcarter.com/2015/07/usikilize-huu-wimbo-wa-alikiba.html
Me Naona kama mnanena kwa lugha coz kazi inayohitaj pongez za kutosha so kama Hii,Ila tuipokee kama wapenda burudani,Mwambie anitumie no. Nimtumie kiukwel kiba shiiiiidah
Poa, Sumve 2015 cheki na huyu akutumie. ..
Cheki PM mkuu Njema kabisa.
Keep It Up na uendelee na moyo huohuo may be mapokezi yako kwa hii nyimbo yanaweza kuifanya Kuwa kubwa..Dude kali balaaa Nimependa hapo anasema .......father......
Tayar nishatuma mkuu