Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Kweli mkuu kuna ngoma za kujadili lkn c huu upuuzi. Game noma kuna Upatoranking flan Nahreel kanipigia mule hatari

Mkuu fungulia thread yako tutakuja kujadili ila hapa kila mtu ni hit demo ya School baby kutoka kwa KingKiba
 
Mkuu Shardcole... naongea frankly kutoka moyoni mwangu kabisa! Inawezekana kwa ID ninayotumia sasa hunifahamu lakini kwa ID yangu ya zamani, unanitambua sana, tena sana tu manake enzi hizo tulikuwa tunazinguana kishenzi kwenye Jukwaa la Siasa ingawaje tukaja kuwa wamoja mida fulani hivi Jukwaa la Elimu... nikajua tu hapa Shardcole anaongea kwa adabu hivi hadi anatamani kuniita kaka, huyu watakuwa washamtenda ama yeye binafsi au watu wake wa karibu... nadhani kwa hiyo intro unaweza kupata picha unaongea na nani!!

Ninachotaka kusema ni kwamba, hebu rudi kwenye akili yako ya zamani! Au Mulugo alikutenda hadi akakuvuruga kabisa? Mbona unapenda kuongea utoto hivi wewe? Imebaki miezi 3 tatu tu sasa, turudi siasani huenda ukarejewa na ufahamu wako wa zamani na sio huu wa kuja kutuwekea breaking news kwamba Davido anam-follow Ali Kiba!!!! Au na kule wamekutenda? Manake najua kule wamejaa wehu!!! Si unajua tena wazee wa Gwanda wasivyo na shukurani?! Unaweza kila siku 24/7, 366 days a year, miaka 5 mfululizo ukawa unamfananisha Dr. Slaa au Mbowe na Yesu Mwokozi lakini ukija kughafirika dakika moja tu, tena kwa kuongea ukweli... wale wale waliokuwa wanakuita Kamanda Shardcole wanakuchenjia kama hawakujui!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Allahuma Amiin! Mashkur wa mashkuran...
Nawe pia maana hakuna ajuaye yaliyokua sirini ila Allah peke yake...

Nimependa ulivoitikia iyo dua na kuirudisha kwangu pia...kwa ilo Allah akuzidishie.

Tukirudi kwenye kitanange chetu,kuhusu kukuhukumu ata cna uwezo na ayo mamlaka...ila tu jichunguze mwenyw vizur toka thread n reply zako za mwanzo esp zinazowahusu chibu na kiba na izi za sasa ivi...nahc unaweza ukagundua maana yangu.
 
Mkuu Shardcole... naongea frankly kutoka moyoni mwangu kabisa! Inawezekana kwa ID ninayotumia sasa hunifahamu lakini kwa ID yangu ya zamani, unanitambua sana, tena sana tu manake enzi hizo tulikuwa tunazinguana kishenzi kwenye Jukwaa la Siasa ingawaje tukaja kuwa wamoja mida fulani hivi Jukwaa la Elimu... nikajua tu hapa Shardcole anaongea kwa adabu hivi hadi anatamani kuniita kaka, huyu watakuwa washamtenda ama yeye binafsi au watu wake wa karibu... nadhani kwa hiyo intro unaweza kupata picha unaongea na nani!!

Ninachotaka kusema ni kwamba, hebu rudi kwenye akili yako ya zamani! Au Mulugo alikutenda hadi akakuvuruga kabisa? Mbona unapenda kuongea utoto hivi wewe? Imebaki miezi 3 tatu tu sasa, turudi siasani huenda ukarejewa na ufahamu wako wa zamani na sio huu wa kuja kutuwekea breaking news kwamba Davido anam-follow Ali Kiba!!!! Au na kule wamekutenda? Manake najua kule wamejaa wehu!!! Si unajua tena wazee wa Gwanda wasivyo na shukurani?! Unaweza kila siku 24/7, 366 days a year, miaka 5 mfululizo ukawa unamfananisha Dr. Slaa au Mbowe na Yesu Mwokozi lakini ukija kughafirika dakika moja tu, tena kwa kuongea ukweli... wale wale waliokuwa wanakuita Kamanda Shardcole wanakuchenjia kama hawakujui!!!!!

Hahahaha mkuu nimeshakuelewa vizuri!

Mkuu mbali na politics mimi mpenzi mzuri sana wa bongoflava hivyo hapa nipo kutetea ukweli.

Kule siasani ntarudi baada ya mkomboz Dr.Slaa kutangazwa rasmi na UKAWA.

Wasalmie lumumba mkuu bila kumsahau chamviga.
 
Last edited by a moderator:
mbona huu wimbo allyluna aliupost insta ikionesha kama vile yeye ndo kashirikishwa .
 
Hahahaha mkuu nimeshakuelewa vizuri!

Mkuu mbali na politics mimi mpenzi mzuri sana wa bongoflava hivyo hapa nipo kutetea ukweli.

Kule siasani ntarudi baada ya mkomboz Dr.Slaa kutangazwa rasmi na UKAWA.

Wasalmie lumumba mkuu bila kumsahau chamviga.
hahahahaaa... Lumumba tena!!! Hapa si pande za Lumumba wala Ufipa, sema tatizo ulikuwa unaangalia makavu ya upande wenu peke yake! In short, kwangu mimi Magamba na Magwanda wote ni wale wale tu... mmoja mwizi wa leo (Magamba) na mwingine mwizi mtarajiwa (Gwanda) na ndio maana hata huyo uliyemtaja alishawahi kuniuliza kama ni kuingia kwenye siasa naweza kuingia chama gani... nikamwambia wazi kwamba, kama ni kwa hiari yangu mwenyewe; hakuna hata kimoja lakini ikiwa ni lazima basi naweza kuungana na magwanda coz', ugomvi wangu na magwanda mmoja tu... FREEDOM OF EXPRESSION but please, don't comment anything kwenye hilo manake kwanza, najua hutakubali, na pili hapa si pahala pake lakini kule siasani nilishawapa makavu live kwenye "----- na vikao rasmi vya chama!"
 
Hahahaha basi mkuu tusihie hapa.
 
video ya daimond (nikifa kesho ) ikitoka mniambie nimuone lile domo litaingia kwenye jeneza #alifikiria nn??? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
mi nataka daimond autoe nikifa kesho" officiall mzuri sana ule wimbo utatikisa afrika #satanic song
 
jamani kwa mwenye nao anitumie bhas wasap manake najaribu kuzifungua hizo link mloweka niweze ipakua lakini sipati sehemu ya kupakulia Namba yangu ni 0763753492
 
Back
Top Bottom