Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
Amelewa sifa,, hiyo ngoma ameharibu
 
ngoma kali lakini sio kama muziki ila itabamba sababu darasa kaja na style yake tofauti kabisa
 
Mleta mada umedhihirisha kuwa masikio yako yana hitilafu jitathimini sio ukichukiacho wewe wote watakichukia.
 
Niggaz wanadie kila baada ya nusu saa na madem wanapenda ujana mtaan hawataki kuzaa
 
Ngoja ipate airtime utaskia tu afu rudia tena kusikilizaa
 
Guys, kwa mara ya kwanza niliuona wa kawaida, ila now I can feel the rhythm. Wimbo mzuri sana usipoulinganisha na Mziki. Naupa 8/10
 
Hii ngoma first time naickia nilii DISS, but leo nimeskiliza tena ni BONGE la ngoma video kali ina ubunifu flan hiv amazing.
 
Style yake ishazoeleka. Jamaa ni mtunzi mzuri tu,sema anachokosea ni kudhani labda akibadili style atapotea.
 
We jamaa acha uongo...album gani ya nje ina nyimbo kali 3 tu?
Albam nyingi tu sababu ukali wa nyimbo ni kutokana na mapokeo ya wasikilizaji...hujawahisikia msanii katoa albam alafu haijafanya vizuri? Au wewe hizo nyimbo za nje unazopenda kwa hao wanamuziki umepata kusikia albam zao nzima au unasikiliza single tu? Unaweza nunua albam ya msanii nzima ukapenda wimbo mmoja tu!
 
Wimbo sio mkali na wala sio mbovu,,ni wa kawaida saaaaana,,mimi hata kuusikiliza sitaki,hui ni aina ya nyimbo zitakazobebwa na media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…