Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
Ngoma kali.

Mtu anataka Darasa angebadilisha Style sasa nani anaeweza kubadilisha biashara ambayo inampa faida?!
 
Ngoma kali.

Mtu anataka Darasa angebadilisha Style sasa nani anaeweza kubadilisha biashara ambayo inampa faida?!
ndio hapo sasa, hii ndio signature yake. kila msanii na burudani yake. sio lazima wote wafanane.
 
HAKUNA JIPYA....HAKIKA DIAMOND HANA MPINZANI
diamond kafikaje hapa? sio vizuri kuwa linganisha kila mara wasanii, kila mmoja ana kipaji chake na muziki wa aina yake

ndio mwisho kunazuka ma teams, sijui team-kiba. team-mondi nk.

hawa wote ni wasanii wa Tz, wote wanahitaji support yetu.
wakifanya vibaya tuwakosoe na wakifanya vizuri tuwapongeze.

ushabiki maandazi tuwekeni pembeni.
 
kaaah wewe. em subiri tuiskie tena na tena kwanza halaf tuipe muda
 
Angalia ngoma zake za mwanzo...zote kali...tatizo producer....sina uhakika kama alihana studio kwa nyimbo hii ila kama alihama basi kafanya kosa kuu
 
Kwa maoni yangu jamaa anatambaa kama alivyotambaa kwenye MUZIKI...labda ni style anayoipenda.
Ile ngoma aliyofanya na MAVOKO hakutambaa kama ngoma hizi mbili...nafikiri huenda ameona style hii ya utambaaji mashabiki waliipokea vizuri.

Hiki ndo kilichompa taabu mleta uzi kuona kuwa hamna jipya.
 
HAKUNA JIPYA....HAKIKA DIAMOND HANA MPINZANI
Huwezi kufananisha wasanii hawa...miondoko yao tofauti kabisa mkuu.
Hawawezi kuwa wapinzani wawili hawa...ni kama kutaka volleyball player kuchuana na football player.
 
Tatizo wabongo wengi wameshazoea Singles na sio Albums sasa wanategemea mtu atoe Singles zote kali na Zibambe! Hicho kitu hakiwezekani ndio maana hata wasanii wa nje ukinunua Album zao unakuta zina nyimbo hadi kumi na mbili lakini Nyimbo tatu tu ndio kali!
Kwa kweli watanzania sijui tukoje yaani ujinga kila mahala..
We jamaa acha uongo...album gani ya nje ina nyimbo kali 3 tu?
 
Wimbo wa Darasa mwisho kusikiliza ilikua nishike mkono yupo na winnie
 
Back
Top Bottom