Dominick mibazi
Senior Member
- Nov 4, 2016
- 177
- 96
Kla mtu ana aina yake ya mzikiunafanana na muziki/too much miondoko ile ile.... yani hakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kla mtu ana aina yake ya mzikiunafanana na muziki/too much miondoko ile ile.... yani hakuna jipya
ndio hapo sasa, hii ndio signature yake. kila msanii na burudani yake. sio lazima wote wafanane.Ngoma kali.
Mtu anataka Darasa angebadilisha Style sasa nani anaeweza kubadilisha biashara ambayo inampa faida?!
diamond kafikaje hapa? sio vizuri kuwa linganisha kila mara wasanii, kila mmoja ana kipaji chake na muziki wa aina yakeHAKUNA JIPYA....HAKIKA DIAMOND HANA MPINZANI
Jinsi ninavyousikiliza ndivyo jinsi ninavyoulewa. Ngoja wenye redio zao walianzishe ndipo utaposifiwa.Uko poa mbona, watu wataielewa tu!
HahahaMkuu naomba urudishe ile avatar yako. Naipenda sana ile picha mkuu
naomba urudushe mkuu
Huwezi kufananisha wasanii hawa...miondoko yao tofauti kabisa mkuu.HAKUNA JIPYA....HAKIKA DIAMOND HANA MPINZANI
We jamaa acha uongo...album gani ya nje ina nyimbo kali 3 tu?Tatizo wabongo wengi wameshazoea Singles na sio Albums sasa wanategemea mtu atoe Singles zote kali na Zibambe! Hicho kitu hakiwezekani ndio maana hata wasanii wa nje ukinunua Album zao unakuta zina nyimbo hadi kumi na mbili lakini Nyimbo tatu tu ndio kali!
Kwa kweli watanzania sijui tukoje yaani ujinga kila mahala..
Unataka kusema kama alihama studio wimbo ni mbovu?!....sina uhakika kama alihana studio kwa nyimbo hii ila kama alihama basi kafanya kosa kuu
Baba ulitaka Darassa abane pua kama Dimond ndio uone Ana Jipya?!HAKUNA JIPYA....HAKIKA DIAMOND HANA MPINZANI