Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Haa haa haujadhihirisha alibahatisha bali umedhihirisha kuwa amelewa sifa,maana nyimbo zake nyingine zote zilifanya vyema tuuDarasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki
Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Hujui muziki tuache tunaojua tuisikilize.Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki
Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Darassa hana uwezo wa kutunga mashairi mazuri hata wimbo wake muziki hakutunga yeye wimbo wake wa hasara roho ndio kiwango cha Darassa kilipo na wala hatokuja kufikia tena level za wimbo wa muziki hata siku moja nyimbo zake zake zote anazotunga mwenyewe zinafanana kama ilivyo hasara roho chamsingi apunguze pombe+kiki afocus kwenye kazi.Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki
Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Jibu muruaaaa sanaipe muda
Hajui kama skati tamaa ishawahi kuwa wimbo wa kitaa mpaka ushuaniWe umemjua Darasa kwenye wimbo wa Muziki. Wewe wimbo uliobahatisha unaitwaje?
Pole kwa BAN mkuuWeka ngoma yako tuone mkikoswa hoja mnabaki kujikanyaga tu
Swissme