Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
wabongo bhana kwa chuki, hii nyimbo itakua wimbo wa taifa soon tu, nyimbo kali sana acheni ushabiki maandazi
 
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki

Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Haa haa haujadhihirisha alibahatisha bali umedhihirisha kuwa amelewa sifa,maana nyimbo zake nyingine zote zilifanya vyema tuu
 
Nje kudogo ya mada.Kuna msanii ameimba wimbo fulani anagani hivi "kichwa chako ndiyo serikali yakoo....mm na wewe...anaitwa nani huyu kijana.?
 
Naungana na wadau hapo juu wewe ni andazi kabisa darasa ni wa kitambo fatilia nyimbo zake za nyuma ndo utamjua kuwa ni mzuri

Ushauri wa bure,,kama unaona siyo wimbo mzuri tunga wako uimbe pia.
 
Ni mapema mno kusema kuwa huu wimbo ni m'baya au ni mzuri,ngoja tuipe muda ndio tutajua ukweli.
 
Wimbo wa kawaida sana.sasa ivi ni mwendo wa nyimbo mbovu!
 
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki

Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Hujui muziki tuache tunaojua tuisikilize.
 
Inaelekea umeanza kumfuatilia / kumjua darasa juzi juzi wewe, ngoma iko vizuri utofauti mkubwa ninaouona ngoma ya mziki ilipanda kwenye top list over night lakin hii inakuja pole pole na itafika juu kama muziki #trust_me!
 
Kuhusu kubahatisha alishasema mapema kwamba hakutegemea kwamba ingekuwa hivi....kumbe watu wanapenda manyimbo yasiyokuwa na ujumbe..... Sasa ww bado unashangaa kwamba alibahatisha....tulia mwenzio apige muziki. Mbona hata Magufuri akitaka kubadilisha staili ya uongozi mnapiga sana kelele eti hoooo huko nyuma haikuwa hivyo....hooo anaharibu......hoooo hapokei ushauri.....hooo ooooooh!. Hebu tutulie kwanza.....tujiulize tunahitaji vipya au vya kale tuendelee navyo
 
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki

Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Darassa hana uwezo wa kutunga mashairi mazuri hata wimbo wake muziki hakutunga yeye wimbo wake wa hasara roho ndio kiwango cha Darassa kilipo na wala hatokuja kufikia tena level za wimbo wa muziki hata siku moja nyimbo zake zake zote anazotunga mwenyewe zinafanana kama ilivyo hasara roho chamsingi apunguze pombe+kiki afocus kwenye kazi.
 
Nasikiliza huku na comment hapa hahahahhaa ngoma kali wewe acha uhuni mkuu
 
Back
Top Bottom