Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
We mleta mada humjui Darasa na nadhani umemfahamu baada ya kutoa wimbo wa Muziki,unachekesha kweli wewe!!
 
Jelous mwisho utatukana picha ukutani
 
Unazijua ngoma za Darasa au ulianza kumjua kwenye ngoma ya Muziki...?unapotoa Hit Song kinachofuata kila ngoma watu wanataka iwe zaidi ya Hit Song yako kitu ambacho akiwezekani kirahisi maana bado una hangover ya ile Hit Song kwa mfano mimi naamini 'Kama Utanipenda' ni ngoma kali kuliko Muziki ila wengi wameikubali Muziki ila sioni sababu ya kumshambulia kua aliotea wakati aliiandika mwenyewe.
 
Mi namjua darasa na ninamkubali..
Ila nyimbo mbili za mwisho hz hakuna kitu
Ipi na ipi kama ni Muziki na hii ndio unasema hakuna kitu basi utakuwa unatatizo kidogo(sikio la muziki)...naweza sema muziki ndio wimbo wa Darasa uliofanya vizuri sana na kupenda na watu wa rika tofauti tofauti...
 
Darasa anaimba mipasho siku iz Sijui kawa isha mashauzi maana cyo kwa mipasho ile
 
Bado sijauelewa ule wimbo.
 
Karibu Dar Es salaam...

Inaonyesha wakati Darasa anatamba na Sikati Tamaa,Kama utanipenda na Too Much we ulikuwa kijijini kwenu unapalilia magimbi.
 
yani muziki/toomuch na huu mpya inafanana kila kitu
yani sio mbunifu hata kidogo aaaghrr
bora nyimbo zake za zamani za heya heya

Anakosea sana..ametoka kutoa nyimbo iliyosikilizwa sana mpaka ikawa kama wimbo wa taifa..then anakuja kutoa nyingine halafu ana rap vilevile tena na beat kama ile ile na chorus anapiga mwenyewe anakosea kutofanya featuring ambayo ingesaidia ku kupunguza kasi ya kuchokwa..kwa mfano taste ya nyimbo zake...kwa mfano kwenye chorus angemyweka qchief na verse ya kwanza angemuweka jmo au hata mitego..ingeleta radha tofauti sana na angeonekana amekuja kivingine
 
HAO WATU WENGI WENYE KUTAMBUA KUWA MAVI CHAKULA KITAMU NAWE PIA NI MIONGONI MWAO.....Asante kwa kuwa alwatan mwenye mawazo ya mchovu wa fikra...
Ukweli hauamuliwi kwa kura.

Watu wengi wakipiga kura kusema mavi ni chakula kitamu, utakula mavi?
 
Inasikitisha sana, pale mtu anapofanya kazi nzuri afu kuna pimbi kisa chuki zake anabaki kuponda tu, NgomA ya darasa ni tamu Eti, jamaa anaandika sana na inakatisha Tamaa kusikia mtu anadiss track tamu hivi, niambieni hivi karibuni Nani katoa track tamu Kama hii HASARA ROHO, kila mstari wamoto ndani ya huu wimbo, anakwambia Jelous ikizidi utatukana pichA ukutani , DUNIA IWEKE TUZO ZA WACHUKIAJI, UUTAAMINI BONGO WATU WANA VIPAJI .....

HARAKA ZAKO NA HARAKATI ZA PIMBI(pimbi hajawahi kufanikiwa),UNATAKA UCHEZE WEWE NA UPIGE FILIMBI.


It's not easy to release four hit songs in a row, that Ninja made it feasible, its about time before this new joint turn to a national anthem as usual, I thought MUZIKI is some kind of one hit wonder, I was wrong as the dude had a lot in store, I never saw this coming, his song which leaked prio to HASARA ROHO could have been the hit song as well, pitiful the leaked song wasn't done to the fullest .........


Me nimelielewa song, wanaosema mbaya TUTAWAPA TUZO YA UCHUKIAJI, MAANA WABONGO WENGINE NDO CHAO KIPAJI


HASARA ROHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…