Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Hiyo Hajaitoa Imekuwa LeakageVP unaijua ngoma ya utanitoa roho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Hajaitoa Imekuwa LeakageVP unaijua ngoma ya utanitoa roho?
Ha ha ha swissme you are banned, duuuh pole sanaWeka ngoma yako tuone mkikoswa hoja mnabaki kujikanyaga tu
Swissme
Jelous mwisho utatukana picha ukutaniDarasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki
Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Mi namjua darasa na ninamkubali..Humjui Darasa au hujui mziki....au inawezekana umesikia huo wimbo wake mmoja tu
Ipi na ipi kama ni Muziki na hii ndio unasema hakuna kitu basi utakuwa unatatizo kidogo(sikio la muziki)...naweza sema muziki ndio wimbo wa Darasa uliofanya vizuri sana na kupenda na watu wa rika tofauti tofauti...Mi namjua darasa na ninamkubali..
Ila nyimbo mbili za mwisho hz hakuna kitu
Ww ndo umelisemaTatizo la mashabiki wa Tanzania eti ili uonekane umefanya ngoma Kali basi lazima ufanye kollabo na wasanii wakinaijeria
Darasa anaimba mipasho siku iz Sijui kawa isha mashauzi maana cyo kwa mipasho ileNimetoka kusikiliza wimbo wa Yang Dee hapa.
Kwa wanao fananisha ngoma ya DEE na DARASA.
Bila shaka yoyote anayeupa point wimbo wa DEE hakika age zao lazima zitakuwa zinaendana yeye na D.
Msikilizeni tena na tena na tena Darasa mtaelewa kuwa hajatuangusha.
yani muziki/toomuch na huu mpya inafanana kila kitu
yani sio mbunifu hata kidogo aaaghrr
bora nyimbo zake za zamani za heya heya
Ukweli hauamuliwi kwa kura.
Watu wengi wakipiga kura kusema mavi ni chakula kitamu, utakula mavi?
nyimbo mbovu sijapata ona....nimeisikiliza nusu ikaniboa nikaitoa