Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
We ile ngoma ni kali na itabamba kinouma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli hauamuliwi kwa kura.matokeo ya bandiko hili ni kuwa kati ya watu 12 waliouzungumzia wimbo wa hasara roho moja kwa moja ,watu saba wanaukubali na kuupenda na watu wa5 wameona ni marejeo ya alikotoka na ni wimbo wa kawaida sana+++! fanya tafsiru ya takwimu hizi ndo utajua kuwa darassa ni mkali au la??
wapo waliochelewa kuuelewa wimbo wa MUZIKI huenda hata hawa watano wanachelewa kuilewa hasara roho!+!+
mkuu some times inategemea na malezi kuna watu wamelelewa kwa misingi ya kuona vya kwao ni vizuri vya wengine vibaya'' duniani kungekuwa na tuzo za wachukiaji, bongo watu wana vipaji '' nyimbo nzuri mimi naipa 7/10, alafu siku zote sio jumapili, jamaa bado yupo vizuri. Ila we ndugu yangu Nibozali siku shangai unachokiona kibaya wewe, unazani wote wanakiona hivyo hivyo, mara perfume diamond mbaya, leo umekuja na darassa kesho sijui atakuwa nani. Ila ukae ukijua unajipunguzia siku za kuishi na unaukaribisha uzee, kwa kulimbikiza chuki na unao wachukia wote kila siku wanazidi kutoboa.
Amerogwa huyo! Darassa hakukosea ktk hiyo nyimbo yake mpya aliposema zingeanzishwa tuzo za haters. Maana kuna watu wanavipaji vya kuchukia mtu kama huyu mtoa mada.Mleta uzi umetumwa.... Ngoma hii kali sana
Tusaidie kuna mziki upi wa darasa unatofauti na huu? Ki ufupi hapo hakuna wimbo zaidi ya muendelezo wa bet ktk wimbo wa weka mziki hana uelewa ktk utunzi na ala za mziki.Humjui Darasa au hujui mziki....au inawezekana umesikia huo wimbo wake mmoja tu
We jamaa una masihara mpaka basi.Kweli darasa ameangusha watu wengi,tulitegemea atafunika Maisha na Music lakini Naona hata ngoma ya Young Dee BONGO BAHATI MBAYA imemuacha mbaaali Darassa na track yake mpya Hasara Roho.
ngoma ipi xax mbona tunaongelea mziki unamwambia aeke ngoma tenaWeka ngoma yako tuone mkikoswa hoja mnabaki kujikanyaga tu
Swissme