heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kuna nyimbo imeenea kwenye mitandao ya kijamii toka jana,ambayo watu wameibatiza jina la tororondo cjui,ukweli wa nyimbo hiyo siyo nyimbo oficial..mana kuna mpaka baadhi ya watu wameileta humu na wameirename as official,ukweli wa nyimbo hiyo haijatolewa rasmi na diamond,na ni moja ya nyimbo nyingi sana za diamond ambazo hazijakamilika ama zimekamilika but zinasubiri mda mwafaka,hivyo wimbo huu ninaouzungumzia ulikuwa bado haujakamilika na isitoshe upo kwenye low quarity ya voice note..tafadhari usiutumie kwenye media ,na taarifa ndiyo hii kuwa siyo official release ya diamond.Ahsanteni
Ivi hii ni nyimbo ya
ngapi ya Diamond ina leak mpaka kufika kwenye media?mnaishia kulalama
zina leak na sioni kama kuna hatua za hii kitu kutojirudia na
mnashangaza mnalalama ni poor quality after some days utamsikia
anai-perform jukwaani mfn:-ukimuona au lala salama just to mention few
nimezisahau nyingine kama ni strategy yenu ya promotion mtafeli na dunia
ya utandawazi eti unaandika IG na JF eti isimbazwe kwenye media
wakati redio za mikoani huku leo nimeisikia wanaipiga siamini kama ni
fitna za watu nahisi ni matokeo ya kazi ya mikono yenu kwenye timu yenu
huko huko msakeni mtamjua kama kweli imevuja kimakosa otherwise mnafanya
makusudi mbona hatusikii wengine zivuje kizembe hivi subiri wengine
waje ku-deal na uandishi wako mimi namaliza na hili la ku-leak mara kwa
mara simply kiroho safi haina makunyanzi hata kidogo,nikutakie kazi
njema ya kuijenga WCB....!
Jipangeni.
Its a business marketing strategy of testing how a new product is accepted by the Market! Wakikosolewa wanarekebisha kisha wanaingia nayo rasmi jukwaani!
Its a business marketing strategy of testing how a new product is accepted by the Market! Wakikosolewa wanarekebisha kisha wanaingia nayo rasmi jukwaani!