heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kuna nyimbo imeenea kwenye mitandao ya kijamii toka jana, ambayo watu wameibatiza jina la tororondo sijui, ukweli wa nyimbo hiyo siyo nyimbo oficial mana kuna mpaka baadhi ya watu wameileta humu na wameirename as official, ukweli wa nyimbo hiyo haijatolewa rasmi na Diamond, na ni moja ya nyimbo nyingi sana za Diamond ambazo hazijakamilika ama zimekamilika but zinasubiri mda mwafaka, hivyo wimbo huu ninaouzungumzia ulikuwa bado haujakamilika na isitoshe upo kwenye low quarity ya voice note.
Tafadhari usiutumie kwenye media,na taarifa ndiyo hii kuwa siyo official release ya Diamond.
Ahsanteni
Tafadhari usiutumie kwenye media,na taarifa ndiyo hii kuwa siyo official release ya Diamond.
Ahsanteni
