Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu

Marry Me target yake sio bongo,target ni international hasa US na Europe
 
Nnangoja maajabu aliyotuahidi Baba tifa, kwani sitaki kuamini marry me ni moja ya maajabu yake caz hata haijashobokewa, still waiting........
 
diamond always hakosi wa kumfananisha, sababu kibakuli hajatoa wimbo/video ndio umeamua kumfananisha dai na upuuzi wa sepetu... what a mess!!
 
Unachoamini wew usituaminishe na sisi
 
Jana Mond kasimamisha biashara zote k/koo (CHINA TOWER)Zamani mobil plza.
Duh na kwenye huu wimbo wake kuna ka kinanda katam sana.
Acha unoko..nilipita saa iyo huyo msanii akiwepo hakuna biashara iliyosimama.
Sema nyie mawakala wa halotel kazi zenu za kusajili line ndo zilisimama.
 
Acha unoko..nilipita saa iyo huyo msanii akiwepo hakuna biashara iliyosimama.
Sema nyie mawakala wa halotel kazi zenu za kusajili line ndo zilisimama.
[emoji23] [emoji23] nimecheka km mazurii
Acha unoko..nilipita saa iyo huyo msanii akiwepo hakuna biashara iliyosimama.
Sema nyie mawakala wa halotel kazi zenu za kusajili line ndo zilisimama.
 
Ya wema apewe wema na diamond apewe diamond.....kama ni fitona wema hausiki mana lipo chini ya serikali....mbona iyo ngoma inabamba kitaa
 
Diamond yupo Afica nzima.Mashabiki wake wametapakaa duniani,ambao mpo bize na wema shauri yenu,nendeni You tube mtaona namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…