Wimbo Mpya wa DiamondPlatnuzm-Kitorondo

Wimbo Mpya wa DiamondPlatnuzm-Kitorondo

Aquatic

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
716
Reaction score
269
DiamondPlatnumz kupitia acc yake inst amepost

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified.... ����". mwisho wa kunukuu
kuupata wimbo huo tembelea hulkshare na mitandao mingine..
 
ebooooooooo..........unapima upepo dogo??????????kwa utumbo huu kwa nin kina mavoko wasiendelee kuwa juu kiusanii
 
Duh kila siku nyimbo zake ndio zina leak....??c'moooooon Diamond kama ni njia ya promo sema basi last time ulimshambulia Maneck aya leo mbona hausemi tatizo nini tena nyimbo alikua store.
 
Sioni haja ya kuvujisha nyimbo zake.....kashakua staa mkubwa Africa
 
Hivi/kwanini ukae na nyimbo ambayo haija kwisha?kwani Diamond nyimbo ambayo haija kwisha ulitaka kuifanyia nini?

Hivi nani ana kaa na funguo za store za Diamond?
Hivi/nani huwa ana tunza store ya diamond?

Hivi kwanini baada ya scandal za namna hii kinacho fata ni new song?

Tutegemee nyimbo mpya baada ya hili kama kawaida?

Mbona hii story haina tofauti na ya dimpoz?
 
DIAMOND AMESITISHA KUUTOA WIMBO WA KITORONDO NINI !

MbONA KIMYA SANA ?

cc heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Kama ndio huu aliosema umevuja hakika Diamond ni kiboko yao, huu wimbo una maadhi ya mchiriku lakini kaimba kwa aina yake!

Kijana huyu ni mbunifu sana kwakweli na wale walio kuwa wanataka maadhi ya kitanzania sasa wasikilize hiyo.

Hongera sana Diamond!
 
Diamond ana nyota kali sana...Pia ana akili nyingi.
 
Kama ndio huu aliosema umevuja hakika Diamond ni kiboko yao, huu wimbo una maadhi ya mchiriku lakini kaimba kwa aina yake!

Kijana huyu ni mbunifu sana kwakweli na wale walio kuwa wanataka maadhi ya kitanzania sasa wasikilize hiyo.

Hongera sana Diamond!

Hivi huo wmbo umeuzd nn wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI au wa MOMBA ft.JUMA NATURE-NIMEAMUA KUFANYA MDUNDIKO..?

Nyie watu wa clouds bhana mkiamua kumbeba mtu.?
 
Kama ndio huu aliosema umevuja hakika Diamond ni kiboko yao, huu wimbo una maadhi ya mchiriku lakini kaimba kwa aina yake!

Kijana huyu ni mbunifu sana kwakweli na wale walio kuwa wanataka maadhi ya kitanzania sasa wasikilize hiyo.

Hongera sana Diamond!

Diamond ni Kiboko yao, haters watakoma mwaka huu.
 
Tatizo lako unadhani kuwa na akili ni mtu kuwa Form6, Degree au masters, ndo mindset yako inavyokutuma.

Mkuu asante sn kwa kunisaidia....Watz wengi hawajui kutofautisha akili na vyeti.
 
Diamond bado anacheza na Akili za mabwege bongo na vimikasa vyake vya kila siku vya ngoma kuvuja"huu ujinga kwa watu waelewa!!
 
Back
Top Bottom