Wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny Paranawe utaachiwa hivi punde.

Wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny Paranawe utaachiwa hivi punde.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari members!
Wimbo mpya wa chama la wana WCB utachiwa hivi punde kuanzia saa 19:00 East Africa kuanzia sasa.
Wimbo huo unaitwa Paranáwe.
Najiuliza hili siyo tusi jipya WCB wanataka kutuachia?
BASATA kazi kwenu kaeni mkao wa kula.
Sisi twataka burudani,Life without music there is no life.
WCB4LIFE ngoma nje nje muda wote.
 
Nausubiri kwa hamu lakini mkuu Harmonize anajielewa huwa haimbi matusi .. yeye ndo msani peke bongo anaye imba vya kueleweka.
 
Wale watakao you tube mtaundosha nalog out my smart phone is lowest battery.
 
Konde boy si walisema anajitoa kwa wasafi
 
Nashaanga mpaka sasa hakuna wimbo wa taifa wa kufungia mwaka kama "Mziki" na kipindi kile cha "Hakunaga".
 
Paranawe?Kama sikosei pia ni jina la wimbo wa kwenye filamu moja hivi miaka ya tisini.Nadhani WCB hawatatuangusha!
 
Ni kali mno, ts a hit song for real! Hanscana kahusika kwa video, u gonna like it Hugo.
 
Habari members!
Wimbo mpya wa chama la wana WCB utachiwa hivi punde kuanzia saa 19:00 East Africa kuanzia sasa.
Wimbo huo unaitwa Paranáwe.
Najiuliza hili siyo tusi jipya WCB wanataka kutuachia?
BASATA kazi kwenu kaeni mkao wa kula.
Sisi twataka burudani,Life without music there is no life.
WCB4LIFE ngoma nje nje muda wote.
tayari umedondoka
 
Back
Top Bottom