johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
- Thread starter
-
- #21
hahahaha hawa mastaa wetu wanazingua kinoma... bibie Anasema alimtuma akalioshe watu mtaani kumuona mwamba na ndinga ka ug wakapiga picha wakaupload jamaa kuona akamaindi bila kuuliza ChanzoHeee aliondoka nalo akaenda nalo kitaa ama?ndio kosa dogo vile jamani
Basi ndio maana zamani dai alivaa sana vizurii,,siku hzi kawaida tu
Japo simkubali boss wake wa zamani pia huyu dogo naye bado hajui kuimba...hakuna wimbo pale...dogo hana kipaji cha kuimba anaforce king....namshauri aanze kuchana hizi bebibebi awaachie wabana pua wasafi.Mimi nimeuona wa kawaida tu.hao dancer wake nguo zao zina logo ya alama aliokuwa anatumia Hitler