Wimbo mpya wa Qboy msafi ni dongo kwa Diamond?

Wimbo mpya wa Qboy msafi ni dongo kwa Diamond?

Heee aliondoka nalo akaenda nalo kitaa ama?ndio kosa dogo vile jamani
Basi ndio maana zamani dai alivaa sana vizurii,,siku hzi kawaida tu
hahahaha hawa mastaa wetu wanazingua kinoma... bibie Anasema alimtuma akalioshe watu mtaani kumuona mwamba na ndinga ka ug wakapiga picha wakaupload jamaa kuona akamaindi bila kuuliza Chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeuona wa kawaida tu.hao dancer wake nguo zao zina logo ya alama aliokuwa anatumia Hitler
 
Mimi nimeuona wa kawaida tu.hao dancer wake nguo zao zina logo ya alama aliokuwa anatumia Hitler
Japo simkubali boss wake wa zamani pia huyu dogo naye bado hajui kuimba...hakuna wimbo pale...dogo hana kipaji cha kuimba anaforce king....namshauri aanze kuchana hizi bebibebi awaachie wabana pua wasafi.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Nyimbo inapatikana wapi nikaisikilize maana nyimbo ya huyu kijana nilioipenda ni Mugacherere tu labda atanishawishi na hii...
 
Duuuh!! Tz kuna wasanii, huyu ndio nani sasa!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom