Wimbo Mpya wa Saida Kalori nomaaa kachanganya nyimbo za Diamond, Darassa, Belle9 ndani

sio kwamba nimeponda, ni wa kawaida tu yaani mzuri..ningesema haufai au mbaya hapo ndio ungesema nimeponda..Ila nawaheshimu sana wasanii kwa kazi zao...Tuko sawa ee

Umenibadilishia gia angani mkuu, ila nimekubali utetezi wako.

Tuko sawa.
 
Thanks for sharing, ndo nymbo zilizobaki cku hizi, tunaskiliza beat...ukitaka ujumbe kaweke za marijani rajabu!
 
Tujue kabisa huu wimbo ni wa kwake au wa yule meneja wake!?

Hatutaki mambo ya kulia lia kudhulumiwa mbele ya safari
 
Watu siku hizi wameishiwa ubunifu kilichibaki ni kuungaunga tu.Sitaki hata kuusikiliza kama kafanya kuungaunga.
Kuunga unga nyimbo then ukapata wimbo wa maana ni kipaji pia ni....wasanii wachache sana wenye uwezo huo.
Tafuta wimbo wa Madilu Multi System unaitwa "Sansa ya Papier" huko YouTube uone nachokuambia......huo wimbo ni mchanganyiko wa nyimbo tano( Matata ya Muasi, Azda, Mamou,Mario na Liberte)zilizoimbwa na Franco pamoja na yeye mwenyewe-Madilu akazichanganya then akapata kitu kinaitwa "Sansa ya Papier".
 
Huyu ndiye Saida Kalori ninayemjua msikilize then nipe komment chini....
Aiseeee ngoja nirud nchin kwangu watanikoma pale mtaan bila kuusahau wimbo wa ccm acha waisome namba dadek kuna mama mmokja wakat wa uchaguz aliluwa amaweka radio karib na dirisha langu
 
Huyu bibi muda wake ulishaisha, aendelee tu na kazi ya kudaka SENENE naona mawingu wanatumia nguvu kubwa kumpromote kama kwa mla ngada Ray C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…