Wimbo mpya wa weusi utafungiwa?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Weusi wametoa ngoma Kali sana inaitwa "ya kulevya".... Gnako kwenye chorus Nikki wa pili kachana....ni jungu la kisomi kwa bashite na mkuu....sidhani kama huu wimbo utachukua mda.
 
Mkuu magu atawateteaa km alivyomteteaa ney ...hapoo napoo atatafutiaa kiki km kwa ney maana ndioo zakee
 
Nadhan Rais kashaziruhusu nyimbo kama hizo, na kaagiza vituo vyote vizicheze bila was was so usihofu
najiuliza ye ni nani hadi aruhusu au akataze nyimbo kuchezwa,huu si ni uimla!!!!
 
Rais hatoi kiki!
atairuhusu tu ili isiwe na attention ya kupita kiasi!
ila wajazie tu na mambo mengine ya kama alivosema wezi,wakwepa kodi na uhalifu mwingine kama wao waTanzania wakereketwa kweli!
vinginevyo ni madongo/majungu sio mziki!
 
kwanza wimbo wenyewe ni title tuu hauna siasa kabisa wala hakuna kipya
 
Hahaha
Rais wetu ana fanya kaz za ajabu ajabu
Mara akamate makontena, mara aruhusu nyimbo, mara atume watu kutibiwa its like Rais ana fanya kila kitu yeye
Ila mkuu sijaelewa yule aliemtuma india ktk matibabu ni homa ya chama au ni mwenyewe mtumaji?
 
Ila mkuu sijaelewa yule aliemtuma india ktk matibabu ni homa ya chama au ni mwenyewe mtumaji?
Hahaha
Itakuwa ugonjwa wao wote maana jamaa alimpangia had siku za kutibiwa as if yeye anajua mchiz atapota ln
 
Wimbo wenyewe hata hatuujui unaimbaje tutaufungia vp?
 
Imetumika fasihi ya hali ya juu humu wenye akili tu ndo tutaoelewa kinaimbwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…