Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najiuliza ye ni nani hadi aruhusu au akataze nyimbo kuchezwa,huu si ni uimla!!!!Nadhan Rais kashaziruhusu nyimbo kama hizo, na kaagiza vituo vyote vizicheze bila was was so usihofu
Hahahanajiuliza ye ni nani hadi aruhusu au akataze nyimbo kuchezwa,huu si ni uimla!!!!
kwanza wimbo wenyewe ni title tuu hauna siasa kabisa wala hakuna kipyaRais hatoi kiki!
atairuhusu tu ili isiwe na attention ya kupita kiasi!
ila wajazie tu na mambo mengine ya kama alivosema wezi,wakwepa kodi na uhalifu mwingine kama wao waTanzania wakereketwa kweli!
vinginevyo ni madongo/majungu sio mziki!
Inahitaji akili kubwa kuuelewa[emoji298]kwanza wimbo wenyewe ni title tuu hauna siasa kabisa wala hakuna kipya
Ila mkuu sijaelewa yule aliemtuma india ktk matibabu ni homa ya chama au ni mwenyewe mtumaji?Hahaha
Rais wetu ana fanya kaz za ajabu ajabu
Mara akamate makontena, mara aruhusu nyimbo, mara atume watu kutibiwa its like Rais ana fanya kila kitu yeye
HahahaIla mkuu sijaelewa yule aliemtuma india ktk matibabu ni homa ya chama au ni mwenyewe mtumaji?
Naitafuta hiyo nyimbo, naipataje!?.
ILA MI FASIHI IMETUMIKA SANA NAHITAJI MUDA NIIELEWEngoma kali sana
ngoma kali sana hii...