Wimbo mpya wa Young Killer, jumba bovu anaangushiwa Harmonize

Wimbo mpya wa Young Killer, jumba bovu anaangushiwa Harmonize

Rajiiiiiiiiiii Rajiiiiiiiiii

Muacheni basi Rajabu
 
Wakali wa chorus Bongo ni

1.Sir nature
2.Lady j dee
3.Q chilla
4.Belle 9
5.Ben pol
 
"....na kusema kuwa harmonize amezidi kumuiga sana boss wake mpaka imekuwa kero kwani wanashindwa kutofautisha sauti za watu hao wawili"

HII ISHU INAMUUMIZA KICHWA HADI LEO RAJJ
Mkuu huyo ndio nan raja?
 
Huyo jamaa ndio aliyetengeneza wimbo unayoongoza kwa mauzo East Africa, na ndio iliyoongoza kwa kutazamwa na watu wengi sana kule Youtube,wimbo Salome.
Alitengeneza au alisample Beat ya Wimbo wa saida Kalori, Salome
 
Hii inshu ya Dislike imeanzia kwa Diamond - Fire. Nahisi kuna Wakosa kazi ambao wameanza hii Kampeni Chafu.
Mungu anawaona! Uzuri YouTube wanaangalia Viewers na sio Likes au Dislikes.

Ngoma ni Kali sana kuanzia Kiitikio , Verses , mpaka Video.
 
Ulitaka tukaongeze viewers tu
Chorus ya kawaida na wimbo siyo m'baya
 
ila haimaanishi kuwa na list hiyo ya hits ndio ataendelea kuwa masikioni mwa watu, mwenzie yule ana nyimbo chache ila ni alama ya kipaji halisi na chenye ubunifu, kama ulikuwa humfatilii anza sasa
Kijuso?harmonize mkali kuliko ray..acheni chuki kwa kuwa ana sarah mmasai?
 
Hadi sahivi Harmonize ana ngoma za kujivunia kuliko Rayvanny. Huyo Ray sometimes naona kama hajawa siriaz, nyimbo kama 'Sugu' na ule Natafuta kiki zinaonesha bado hajawa siriaz na muziki sema kuwa Wasafi ndio kunamsaidia
 
Aisee hata mie namkubali sana Harmonize
Aiyola
Matatizo
Show me
Niambie
Ni nyimbo kali saaana
 
Acha povu subiri kidogo wew , harmonize anaongoza kwa kupata view wengi kwa wasani wa bongo , hizo dislike zinatoka kwa team kiba . Kila mara Wcb wakitowa kitu wao wanaenda ku dislike .. ila nakupa time utaona mwenyew bada ya wiki.
 
Back
Top Bottom