Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.
 
Usher Raymond kwenye hiyo video ameonyesha ufundi wa kucheza.
 
Jana eti Tanasha na fans wake wanalalamika eti Le Teqeuro wamekopi mstari sana nikajiuliza lugha yenyewe ya Ki Espanol

Sasa leo hii mtu akiimba "nakupenda baby" JUX atasema wamecopy

Mtu akiimba "your the one I love "Diamond atasema wamecopy


Afrika wanafiki
 
Back
Top Bottom