Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.
Mzee unapigo za kizamani bado Hadi leo unazungumzia kuhusu kukopi kwenye dunia hii we mbona umekopi kuvaa nguo kwa wazungu mbona hatusemi au nioneshe msanii gani ambaye akopi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tyuuuh lazima povu uje nalo, nakusubiri kwa ID yako ile nyingine.
Me Nina ID moja huyo unamsemea anaitwa kigoma dependent me Ni innocent dependent alafu me Sina matusi kuwa na amani tofauti na huyo jamaa
 
Me Nina ID moja huyo unamsemea anaitwa kigoma dependent me Ni innocent dependent alafu me Sina matusi kuwa na amani tofauti na huyo jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni ID yako, ila unaitofautisha kihivyo lol.
 
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.

Naughty girl

Cheche

Hivi zuchu ndio nani mbona ame trend sana?
 
Mavazi ya zuchu wamemuibia kashata donna aisee. Domo hana ubunifu kabisaaa
 
Halafu sikieni,
Kutumia idea ya mtu mwingine sio dhambi, shida inakuja pale unapotumia bila ridhaa yake ndio mambo yanayowakuta akina harmonize.

Lini mmeanza kusema Diamond anakopi ila hakuna hata msanii mmoja aliyewahi kumshitaki??? ila hao wengine mnaowashangilia ndio wanaondolewa video kila siku.

Hata wasanii wakubwa duniani wanatumia idea za watu wengine ila cha msingi ni kufuata utaratibu.

Ila mondi ndio huyu huyu anayeshutumiwa tangu ngoma ya gere, jeje, baba lao,n.k na haters wake
f27d37df7014c5b1350707ac057029db.jpg
6025c2570debfec6ee545c7eecac87cc.jpg
a2fabf214038884ac21ddb8b90e3b5d4.jpg
ila ndio huyo kawa nominated mara 7afrimma.

Tunachoshukuru nyimbo umeiangalia,
Umetuongezea views,
Ila kijana ndio anazidi kupaa.
 
Back
Top Bottom