Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.
Mzee unapigo za kizamani bado Hadi leo unazungumzia kuhusu kukopi kwenye dunia hii we mbona umekopi kuvaa nguo kwa wazungu mbona hatusemi au nioneshe msanii gani ambaye akopi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tyuuuh lazima povu uje nalo, nakusubiri kwa ID yako ile nyingine.
Me Nina ID moja huyo unamsemea anaitwa kigoma dependent me Ni innocent dependent alafu me Sina matusi kuwa na amani tofauti na huyo jamaa
 
Huko Wcb kinacho wabeba kwa sasa ni nguvu za Giza ila kimuziki wameporomoka sanaaa

Naona habari ya WCB imekuibua,ila umewaona Cheed na Killy Konde Gang,siku hizi wanatandika suti tu.

😀😀😀😀😀😀😀
 
Me Nina ID moja huyo unamsemea anaitwa kigoma dependent me Ni innocent dependent alafu me Sina matusi kuwa na amani tofauti na huyo jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni ID yako, ila unaitofautisha kihivyo lol.
 
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.

Naughty girl

Cheche

Hivi zuchu ndio nani mbona ame trend sana?
 
Mavazi ya zuchu wamemuibia kashata donna aisee. Domo hana ubunifu kabisaaa
 
Halafu sikieni,
Kutumia idea ya mtu mwingine sio dhambi, shida inakuja pale unapotumia bila ridhaa yake ndio mambo yanayowakuta akina harmonize.

Lini mmeanza kusema Diamond anakopi ila hakuna hata msanii mmoja aliyewahi kumshitaki??? ila hao wengine mnaowashangilia ndio wanaondolewa video kila siku.

Hata wasanii wakubwa duniani wanatumia idea za watu wengine ila cha msingi ni kufuata utaratibu.

Ila mondi ndio huyu huyu anayeshutumiwa tangu ngoma ya gere, jeje, baba lao,n.k na haters wake ila ndio huyo kawa nominated mara 7afrimma.

Tunachoshukuru nyimbo umeiangalia,
Umetuongezea views,
Ila kijana ndio anazidi kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…