Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!
Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
Sanaa iachwe kama ilivyo

Hao watoto nani aliwaambia waelimike? Hawajui kuna kuburudika pia?
 
Naheshimu madanga ya mke wanguuuu

Ndo yananipa faidaaaaaaaaa

Naheshimu madanga ya mke wangu ooooohhhh ndo yananipa faidaaaaaaa


WACHA TUBURUDIKE TUKIWAAMBIA

KATAAA NDOA

mnatuona wendawazimu
 
Vijana siku hizi hawataki kutafuta pesa kiasi kwamba wanaruhusu wake zao wakadange na kupigwa machine na wazee wenye pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi msingi wa ving'asti ndiyo umepea Kila mtu anataka hela, ila usije kudanga na maboya ukarudi home bila hela

Ukipata Bwana wakizungu Nenda nae kwa mpalange, mumeo nimekuruhusu ukadange, na mwaka huu mke wangu lazima tujenge.
 
Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!

Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
Hawaimbi nyimbo kwa ajili ya watoto wenu kujifunza wanaangalia soko watoto wenu mtawafundisha nyie huko majumbani. ..

Then Harmonize juzi kalalamika hajawahi kupata stahiki zake za kazi za muziki wake kwa muda wa miaka kama mitano hivi kwanini usichukue nafasi hiyo ya kuanzisha uzi kuishauri BASATA wawe wanasimamia michakato ya mikataba na malipo ya wasanii kwa ujumla waachane na hiz petty issues za kufungia nyimbo!?
 
Back
Top Bottom