Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

Wadundishe watoto kuchambua zuri na baya,huo wimbo hata usipopigwa redioni,watautautafuta mtandaoni,
Dunia ipo viganjani siku Hz,vitu vzr na vibaya vyote vinaparikana kwa urahisi
Hivi kwanini wabongo mnadhani simu au tv haziwezi kuwekea restrictions za vitu vya kutazamwa na watoto ?
 
......kwakweli mimI mwenyewe nilipousikia nilijisikia vibaya sana nilikuwa nimekaa siti moja na mama mtu mzima kidogo kwenye basi, badae tena zikaoneshwa singeli zingine ambazo wadada wanacheza vibaya, nikaona nijifanye nasinzia tu, kuna mtiani mkubwa sana wa malezi kwa Sasa..
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Mm nadhani bora hiyo... kuna nyimbo zingine za singeli zikipigwa aibu naona mimi nkiwa mbele za watu! Aibu tupu mkuu...
 
Back
Top Bottom