dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Sanaa iachwe kama ilivyoKwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!
Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
Umeusikiliza huo wimbo?Kwani tatizo lako nini hasa??
Ni shida sanaVijana siku hizi hawataki kutafuta pesa kiasi kwamba wanaruhusu wake zao wakadange na kupigwa machine na wazee wenye pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
"naheshimu madanga ya mke wangu maana ndo yanayonipa faiidaaa" si ndo huu au [emoji848]Umeusikiliza huo wimbo?
Sasa huoni tatizo hapo?"naheshimu madanga ya mke wangu maana ndo yanayonipa faiidaaa" si ndo huu au [emoji848]
Ushauri wako ni upi hasa.Sasa huoni tatizo hapo?
Basata waufungie harakaUshauri wako ni upi hasa.
Eti usije kudanga na maboya ukarudi home bila helaWimbo wa hovyo kabsa
Alafu Kuna sehemu anasema akimpata Mzungu ampeleke kwa mpalange.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Siku hizi msingi wa ving'asti ndiyo umepea Kila mtu anataka hela, ila usije kudanga na maboya ukarudi home bila helaVijana siku hizi hawataki kutafuta pesa kiasi kwamba wanaruhusu wake zao wakadange na kupigwa machine na wazee wenye pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Atakua hapajui kwa mpalangeSasa huoni tatizo hapo?
Hawaimbi nyimbo kwa ajili ya watoto wenu kujifunza wanaangalia soko watoto wenu mtawafundisha nyie huko majumbani. ..Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!
Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?