Wimbo niliosikiliza enzi za free Satellite dish

Wimbo niliosikiliza enzi za free Satellite dish

Nini sasa
Enzi za zama za Mawe ulikuwepo? Zama za Mawe za Pili ndio ulitoka huo wimbo kipindi hicho ndio free satellite dish alikuwepo, yaan huyo satellite dish alipiga tukio kinyume na Sheria za Nchi na Serikali alikamatwa akawekwa lupango kwa hio watu wakaanzisha hashtag ya #freesatellitedish, km hukuwepo tulia hapo hapo
 
Soma juu hapo nmeeleza kila kitu, tatizo vijana hampendi kujifunza
Unazani inaeleweja basi!!!
Ukiiangalia kwa mbali kama ipo kama king'amuzi cha bure ila ukiisogelea ipo kama hashtag ya kuomba mtu flani aachiliwe
 
Back
Top Bottom