Wimbo Tetema wa Rayvanny na Diamond Platinumz na ule wa Wamlambez wa Sailors zapigwa marufuku kupigwa nje ya klabu au baa

Ryan Herman

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
42
Reaction score
46
Kenya’s moral policeman Ezekiel Mutua has banned public performance of Diamond Platnumz’s ‘Tetema’ , saying the song is “pure pornography”.

According to Dr Mutua, the CEO at the Kenya Film Classification Board (KFCB), the song Tetema and Wamlambez by Tanzanian singers Rayvanny and Diamond Platinumz and the Sailors respectively can only be played in night clubs and bars where the audience is strictly adult.

He also rapped some national leaders for dancing to the two songs in public.

“Tetema and Wamlambez songs are strictly forbidden outside of clubs and bars. It’s embarrassing to see even national leaders singing and dancing to the obscenity in public. The lyrics are dirty and not suitable for public consumption, especially mixed company or where children are likely to be watching or listening. Both songs are pure pornography,” said Ezekiel Mutua.

He added: “While we may not ban them because they are coded, it’s important for the public to know that they are dirty and unsuitable for mixed company. Let them be restricted to clubs, strictly for adults.”

The song Tetema was released in February this year and has been on playlists of most Kenyan DJs due to its compelling beats.

The song has been played in different political rallies with leaders being caught on camera jamming to its beats.

Wamlambez was released in April taking the music industry by storm with its catchy phrase and double entendre.

Source: The Citizen

--
BODI ya Usimamizi wa Filamu Kenya (KFCB) imepiga marufuku wimbo Tetema wa wanamuziki maarufu Tanzania Rayvanny na Diamond Platinumz kupigwa kwenye maeneo ambayo si baa au klabu.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo, Dk Ezekiel Mutua pia ametoa amri kama hiyo kwa wimbo Wamlambez wa kundi la Sailers.

Kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii wa twitter, Dk Mutua amesema, nyimbo hizo ni za kingono kabisa, na kwamba, zina maneno machafu na hazifai kwenye jamii.

“Ni marufuku kabisa kwa Tetema na Wamlambez kupigwa nje ya klabu na baa. Inatia aibu kuona hata viongozi wa kitaifa wanaimba na kucheza hadharani. Mashairi ni machafu na hayafai kwenye jamii hasa kwa watoto”amesema Mutua leo kwenye ukurasa wake wa twitter.

Tetema ni wimbo maarufu wa Rayvanny akimshirikisha Diamond Platinumz na hadi leo umetazamwa zaidi ya mara milioni 27 kwenye mtandao wa youtube tangu ulipowekwa huko Februari saba mwaka huu.

Wamlambez ni wimbo maarufu Kenya, umeimbwa na Miracle Boy, Shalkido, Masilver, Lexxy Yung na Qoqosjuma na hadi sasa umetazamwa mara milioni 3.8 tangu Aprili tano mwaka huu.

Dk Mutua ameandika kuwa hawawezi kuzifungia nyimbo lakini ni muhimu kwa jamii kufahamu kwamba nyimbo hizo ni chafu na hazifai kwa watu mchangnyiko.

“Zipigwe klabu kwa watu wazima tu” ameandika.

Chanzo: Habari Leo
 
Duh! ila kwa kweli huo wimbo wa Wamlambezi nimeufuata kule Youtube, ni balaa belua, madogo jameni wamepinda, ila wazazi tuache unafiki wa kulaumu na kulekeza vidole kwa hawa watoto, tujiulize wapi tulianzia kuchepuka kutoka kwenye njia kuu.
Vijana wanaiga kila tunachokifanya, siku hizi tuhuma za ngono zimekua jambo la kawaida, kiongozi wa dini asiyekua na kimada sehemu watu wanamshangaa mbona amechelewa.
 
Kenya’s moral policeman Ezekiel Mutua has banned public performance of Diamond Platnumz’s ‘Tetema’ , saying the song is “pure pornography”.

According to Dr Mutua, the CEO at the Kenya Film Classification Board (KFCB), the song Tetema and Wamlambez by Tanzanian singers Rayvanny and Diamond Platinumz and the Sailors respectively can only be played in night clubs and bars where the audience is strictly adult.

He also rapped some national leaders for dancing to the two songs in public.

“Tetema and Wamlambez songs are strictly forbidden outside of clubs and bars. It’s embarrassing to see even national leaders singing and dancing to the obscenity in public. The lyrics are dirty and not suitable for public consumption, especially mixed company or where children are likely to be watching or listening. Both songs are pure pornography,” said Ezekiel Mutua.

He added: “While we may not ban them because they are coded, it’s important for the public to know that they are dirty and unsuitable for mixed company. Let them be restricted to clubs, strictly for adults.”

The song Tetema was released in February this year and has been on playlists of most Kenyan DJs due to its compelling beats.

The song has been played in different political rallies with leaders being caught on camera jamming to its beats.

Wamlambez was released in April taking the music industry by storm with its catchy phrase and double entendre.

Source: The Citizen

--
BODI ya Usimamizi wa Filamu Kenya (KFCB) imepiga marufuku wimbo Tetema wa wanamuziki maarufu Tanzania Rayvanny na Diamond Platinumz kupigwa kwenye maeneo ambayo si baa au klabu.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo, Dk Ezekiel Mutua pia ametoa amri kama hiyo kwa wimbo Wamlambez wa kundi la Sailers.

Kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii wa twitter, Dk Mutua amesema, nyimbo hizo ni za kingono kabisa, na kwamba, zina maneno machafu na hazifai kwenye jamii.

“Ni marufuku kabisa kwa Tetema na Wamlambez kupigwa nje ya klabu na baa. Inatia aibu kuona hata viongozi wa kitaifa wanaimba na kucheza hadharani. Mashairi ni machafu na hayafai kwenye jamii hasa kwa watoto”amesema Mutua leo kwenye ukurasa wake wa twitter.

Tetema ni wimbo maarufu wa Rayvanny akimshirikisha Diamond Platinumz na hadi leo umetazamwa zaidi ya mara milioni 27 kwenye mtandao wa youtube tangu ulipowekwa huko Februari saba mwaka huu.

Wamlambez ni wimbo maarufu Kenya, umeimbwa na Miracle Boy, Shalkido, Masilver, Lexxy Yung na Qoqosjuma na hadi sasa umetazamwa mara milioni 3.8 tangu Aprili tano mwaka huu.

Dk Mutua ameandika kuwa hawawezi kuzifungia nyimbo lakini ni muhimu kwa jamii kufahamu kwamba nyimbo hizo ni chafu na hazifai kwa watu mchangnyiko.

“Zipigwe klabu kwa watu wazima tu” ameandika.

Chanzo: Habari Leo
KTK HILI TUNAIOMBA SERIKALI IIGE KWA WAKENYA ILI NA SISI TUENDELEE NA UTAMADUNI WETU WA KUDUMISHA UTU NA USTAARABU. MIONGONI MWA VIZAZI VYA WATANZANIA.

HAPO WAKENYA WAMEPATIA. INA MAANA WASANII WAO WATAPUNGUZA MAKALI KTK TUNGO ZAO.

MZEE WETU WA WIZARA HUSIKA TUNAMUAMINIA SANA. NINA HAKIKA HAPO HATA YEYE ATAKUWA AMEFURAHISHWA NA HATUA HIZO ZA SERIKALI YA MAJIRANI

TUNAWAOMBA WAHUSIKA WAZUIE NA HAPA KWETU KWANI MAADILI YANAMOMONYOKA KIZAZI KINAANGAMIA

DIAMOND AKANYWE. MI BINAFSI NIMEMCHUKIA SANA KWA HILO NA MAMBO YAKE MENGINE PIA
 
Safi sana, nilitegemea serikali ta Tanzania ndo ingeanza kufanya hivyo. Nyimbo kama Ukiomuona mbona ni nzuri lakini hazina matusi
 
Kunani wajomba zangu??? Mimi nilijua hizo nyimbo za Wamlambez Wamnyonyez zinahamasisha watu kuhusu hivi vitu hapa.
IMG_20190430_133849.jpg
Sasa si ndio wameharibu kabisa kwa kunipa idea? Ingependeza zaidi kama wangeniacha tu na ulofa wangu. [emoji1]
 
Basata ya Kenya wako more intelligent na iko busara mingi

ingekuwa Basata ya Bongo hapo angefungiwa msanii,producer,wimbo wenyewe ,ndani na nje ya nchi;radio station na hata huko club usingepigwa
 
Back
Top Bottom