Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni Busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).

[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]

[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
 
Mjumbe salama

Nahiitafuta sana hiyo nyimbo.

Mwenye nayo aipandishe hapa
 
Utafute huo wimbo uusikilize wote ndio urudi na hili topic yako!!!


Pengine utaleta maana nzuri!!!


CCM yakukaya!
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
 
Nimekuwekea hapo juu huo Wimbo usikilize ukiwa umetuliza akili!!! Hauna maana ile unayofikilia!
Mjumbe salama

Nahiitafuta sana hiyo nyimbo.

Mwenye nayo aipandishe hapa
 
Kwani anaposema CCM ya kukata anamaanisha nn?
Jibu swali kisha uliza swali, umesema maana ya wimbo sio Kama anavyofikiria huyo mdau uliyemqoute hapo juu, swali je kwani huyo mdau anafikiria nini? Ukizingatia huyo mdau aliomba tu wimbo uwekwe hapa.
 
Kimsingi wasukuma tunamchagua magufuli.

.hata hafai kivp tunamchagua na akitoka atuachie luhaga Johnson mpina kama rais wa 6
 
Hahah amewapiga saundi khs Malipo ya pamba zao nini?

hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…