Lazima hasa pale ajira yako inapokuwa mashakani pale unapohisi waajiri wako wanataka kusitisha ajira yako.kaa karibu na TBC mkuu,jiwe sasa hivi ana hasira sana .siku pekee alikuwa hajamind ni alipokuwa Musoma huko
Hawa wanasiasa hawawezi ishi nje ya ajira Ni lzm wafe njaa. We uoni juakali alizimia kwa kupata kura 4.
Wanatuambia tujiajiri Hali wanaogopa kujiajiri