Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

kaa karibu na TBC mkuu,jiwe sasa hivi ana hasira sana .siku pekee alikuwa hajamind ni alipokuwa Musoma huko
Lazima hasa pale ajira yako inapokuwa mashakani pale unapohisi waajiri wako wanataka kusitisha ajira yako.
Hawa wanasiasa hawawezi ishi nje ya ajira Ni lzm wafe njaa. We uoni juakali alizimia kwa kupata kura 4.
Wanatuambia tujiajiri Hali wanaogopa kujiajiri
 
[emoji16]sasa hivi mzee kapanick sana anahaidi mpaka bima za Afya nasikia hazipo kwenye ilani yao. siasa ni kazi ngumu sana aise,unapewa matusi kila kona wakati una mawazo mala uzomewe
 
Soon achelewi kuwatoa masheik wa uhamsho ili kuipooza pemba.
Kahaidi ajira wa ualimu, zichukueni kura mnyimeni
 
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).

[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]

[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]

Tume bado hamuwezi kukemea haya?
 
[emoji16]sasa hivi mzee kapanick sana anahaidi mpaka bima za Afya nasikia hazipo kwenye ilani yao. siasa ni kazi ngumu sana aise,unapewa matusi kila kona wakati una mawazo mala uzomewe

Aliwasomesha namba watz Sasa ni zamu yake kuisoma kwenye sanduku.
Safari hii Mkapa wa kumbeba ayupo anajibeba alone na slow slow wake.
Vijana wanataka mabadiliko.
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko
Mzee wa ubweche naye aje na wa kwao na Mbowe na TL na Sugu kila mbunge ili tufike mapema tunako taka kufika
Mwisho wa siku tugawane mbao
 
Back
Top Bottom