Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

Huo wimbo wauwache wasiendelee nao Mimi ni msukuma asilia naelewa maana yake haileti picha nzuri kwenye uchaguzi hata hapa nilipo watu wapo disappointed kutuonyesha wasukuma sisi niwakabila haipendi kabisa.
Nani atasema wauache?
 
Kimsingi wasukuma tunamchagua magufuli.

.hata hafai kivp tunamchagua na akitoka atuachie luhaga Johnson mpina kama rais wa 6
Moja ya wasukuma wenye akili ndefu hapa jamiiforum, sawa tumekusikia mawazo yako tatizo sio wewe tatizo ni mazingira uliyokulia wewe, kwa maana tokea ulione jua hijawahi toka nje ya nyakabindi
 

Wimbo uko kwenye lugha ya kisukuma.

Lugha kisukuma, nyumbani Tanzania?

Pana jinga linataka kutuaminisha neno nyumbani ni Tanzania. Likawaaminishe hivyo buku 7.
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari

Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Jitu likikosa sera litajitutumua kwa udini,ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…