Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Mke wake ni msukuma pure,mama yake pia ni msukuma pure.Anatumia ukabila kwa faida za kisiasa, japo kiuhalisia hata usukuma hana. Ni kabila aliloamua kujipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wake ni msukuma pure,mama yake pia ni msukuma pure.Anatumia ukabila kwa faida za kisiasa, japo kiuhalisia hata usukuma hana. Ni kabila aliloamua kujipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wa Simiyu? Miaka ya nyuma aliimba wimbo "Duhu tabu", niliupenda sana. Nimejaribu kutafuta kwenye nyimbo zake sijaupata.Bonge la Spngi Hilo
Eliza wa Somiyu katisha
Nani atasema wauache?Huo wimbo wauwache wasiendelee nao Mimi ni msukuma asilia naelewa maana yake haileti picha nzuri kwenye uchaguzi hata hapa nilipo watu wapo disappointed kutuonyesha wasukuma sisi niwakabila haipendi kabisa.
Moja ya wasukuma wenye akili ndefu hapa jamiiforum, sawa tumekusikia mawazo yako tatizo sio wewe tatizo ni mazingira uliyokulia wewe, kwa maana tokea ulione jua hijawahi toka nje ya nyakabindiKimsingi wasukuma tunamchagua magufuli.
.hata hafai kivp tunamchagua na akitoka atuachie luhaga Johnson mpina kama rais wa 6
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
Tukang'wine kura, wamkaya..![]()
John Pombe, tuchagulagi x2![]()
![]()
John Pombe, wamkaya..![]()
Bakema na bagosha, tuchagulagi![]()
Jitu likikosa sera litajitutumua kwa udini,ukabila.Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari
Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi