Wimbo unaosema 'Kidemu changu kilokole kikilewa kinahubiri' Ufungiwe mara moja

Wimbo unaosema 'Kidemu changu kilokole kikilewa kinahubiri' Ufungiwe mara moja

Vita dhidiyaujinga

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2026
Posts
279
Reaction score
385
BASATA POKEA HUO UJUMBE MAPEMA NA MUUFANYIE KAZI
" KIKILEWA KINAHUBIRI? Ni UBAGUZI na matusi kwa WALOKOLE HUO WIMBO UFUNGIWE leo
 
Subiria watajwe wavaa mashuka ndio itashughurikiwa mkuu.

Nchi imekubali upumbavu ndio uwe sehemu ya udhibiti wao dhidi ya mantic ndio maana vitu kama hivi havichukuliwi kwa uzito

Leo hii kuna yule mhuni anajiita sijui shehe nani vile wala hata achukuliwi hatua.

We are living in awkward times.
 
Wimbo unakaribu miaka 5 unasema ufungiwe leo .. 😀
 
Back
Top Bottom