Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 279
- 385
Kwani mahubiri yake yanaenda kinyume na biblia?BASATA POKEA HUO UJUMBE MAPEMA NA MUUFANYIE KAZI
" KIKILEWA KINAHUBIRI? Ni UBAGUZI na matusi kwa WALOKOLE HUO WIMBO UFUNGIWE leo
Kwani shetani ana miaka mingapo? Mbona tunamkataa,Wimbo unakaribu miaka 5 unasema ufungiwe leo .. 😀
Hili ni ombi au ni amri ?BASATA POKEA HUO UJUMBE MAPEMA NA MUUFANYIE KAZI
" KIKILEWA KINAHUBIRI? Ni UBAGUZI na matusi kwa WALOKOLE HUO WIMBO UFUNGIWE leo
Tafuta mwenyewe.Ni amriHili ni ombi au ni amri ?
Weka hapa huo wimbo na sisi tusikilize kwanza