Wimbo uupendao kuliko zote

Nipo nmekumiss paka basi
Nipo jirani. Jumapili nikazuga zuga kwenye ule uzi wa selfie nikijua unajitupia ukiwa church cha ajabu sikuona. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uzi umeturahisishia sana ule. 😁

Wazima wote huko?
 
Huwa upepo wangu unabadirika mda na mda.

Saivi kila nikiamka asubuhi wakati wa mazoezi napenda kusikiliza


Bob Marley - So much trouble in the world.

Week nne zilizopita nilikuwa nasikiliza sana wakati wa mazoezi

Grace matata - Free soul



Miezi mitatu iliyopita nilikuwa nasikiliza hata siku nzima huu Wimbo.

Beatrice Muhone - Habari Njema
 
Nipo jirani. Jumapili nikazuga zuga kwenye ule uzi wa selfie nikijua unajitupia ukiwa church cha ajabu sikuona. [emoji23][emoji23][emoji23]

Uzi umeturahisishia sana ule. [emoji16]

Wazima wote huko?
Wazima ungeniita yani. Ulitupiapo kapicha?? Nkanze kufukunyua
 
haipiti siku sijaskiliza "Mercure - FERRE GOLA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…