Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio hivyo Ses.Dah!🤪🤪🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo Ses.Dah!🤪🤪🤪
Nipo nmekumiss paka basiSijambo jirani. Hivi upo?
Nipo jirani. Jumapili nikazuga zuga kwenye ule uzi wa selfie nikijua unajitupia ukiwa church cha ajabu sikuona. 😂😂😂Nipo nmekumiss paka basi
Wazima ungeniita yani. Ulitupiapo kapicha?? Nkanze kufukunyuaNipo jirani. Jumapili nikazuga zuga kwenye ule uzi wa selfie nikijua unajitupia ukiwa church cha ajabu sikuona. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umeturahisishia sana ule. [emoji16]
Wazima wote huko?
Yaani nilikuwa nasubiria ya kwako jirani utupie ukiwa church kama siku ile. 🤣🤣Wazima ungeniita yani. Ulitupiapo kapicha?? Nkanze kufukunyua
Yaani nilikuwa nasubiria ya kwako jirani utupie ukiwa church kama siku ile. [emoji1787][emoji1787]
Nimekuona na kibegi chako jirani. 😅😅. Safi sana.Nmetupia leoo
Nimekuona na kibegi chako jirani. [emoji28][emoji28]. Safi sana.
Uwiii!! Na uzee huu jirani wacha niwe nawaangalia tu. 😀😀Hivi nmekuwa nikisubiri ujibu mapigo lakin kimyaa
Uwiii!! Na uzee huu jirani wacha niwe nawaangalia tu. 😀😀
Kule wanajirusha wadada wadada na wakaka wakaka sisi wazee tunasafisha macho tu jirani. 🤣🤣🤣Sawa tuu
Kule wanajirusha wadada wadada na wakaka wakaka sisi wazee tunasafisha macho tu jirani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bob Marley - Running awayNyimbo hutunza historia mbalimbali;taja wimbo ambao ukiusikia unakukumbusha kitu flani.wangu ni;kuku kapanda baiskel wa mr nice,
MhengaYa Jean,,,,, madilu system
😅😅😅Hahahaha lakin jiran mjin hamna mzeee.... unakumbuka huu msemo