Wimbo uupendao kuliko zote

Wimbo uupendao kuliko zote

Nikisikiaga tu TUNE ya huu wimbo huwa na FREEZE pale pale nausikiliza kwa hisia kali mno

Huu wimbo haujawahi kupoteza ladha masikioni mwangu,unanikumbusha mbaliiiiiiiiiiiiiii

 
katika wimbo unaishi moyoni mwangu siku zote wakat wote

na uheshimu to the maxmum ninapouimba nakumbuka hukooooo

Pale anapomuita Mungu "dadiee" aseeee i feel it huwa nahisi naongea na Mungu live live

ila unanikumbushaga a very sad moment in my life Acha kabisa....

 
Back
Top Bottom