kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Naomba mwenye wimbo wa Adela auweke hapa kwani unamafundisho makubwa hasa kipindi hiki cha uchaguzi
UPDATE:
Huu hapa chini
UPDATE:
Huu hapa chini
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli; kanunue cd au kanda mkuu Mpoto apate mapato; kumbuka ni mio9ngoni mwa wapiganani kwanza kakataa kujiunza na wenye njaa kuipigia kampeni ccm; acha roho mbaya
Hapana mkuu sio roho mbaya ni maudhui ya wimbo wenyewe na muda uliobaki. Ukitoa leo zimebaki siku 42 tu kabla wenye inchi hawajaenda kuchagua viongozi wao. Albamu tutanunua tuuu. Isitoshe mpaka albamu ikamilike inachukua zaidi ya miezi minne yaani apate vijinyimbo vingine vya kujazilizia, hii nayo inachukua muda. Wimbo mmoja kutuwekea hapa sio ishu sana kwa sababu baada ya Oktoba 31 thamani yake itashuka hadi 13% au pungufu. Kuna maana gani kuficha habari inayotakiwa sasa kwa minajili ya kuuza baadae? Kwanza atapunguza gharama za uzinduzi wa albamu kwa sababu utakuwa umesha jizindua wenyewe kitakachofuata ni mauzo mfululizoooo!!!!
Kwa maoni yangu mwenye no auweke hapa wananchi tujisikilizisheeee!!!!!!