Elections 2010 Wimbo wa Adela toka kwa Mrisho Mpoto

kasimba123

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2010
Posts
1,753
Reaction score
816
Naomba mwenye wimbo wa Adela auweke hapa kwani unamafundisho makubwa hasa kipindi hiki cha uchaguzi

UPDATE:

Huu hapa chini

Last edited by a moderator:
Acha roho mbaya mkuu huo wimbo mpya hata tape 1 haujauzwa. Unataka uwekwe hapa uwe downloaded kwa free! Hizi ni hujuma mkuu!
 
Kweli; kanunue cd au kanda mkuu Mpoto apate mapato; kumbuka ni mio9ngoni mwa wapiganani kwanza kakataa kujiunza na wenye njaa kuipigia kampeni ccm; acha roho mbaya
 
Hapana mkuu sio roho mbaya ni maudhui ya wimbo wenyewe na muda uliobaki. Ukitoa leo zimebaki siku 42 tu kabla wenye inchi hawajaenda kuchagua viongozi wao. Albamu tutanunua tuuu. Isitoshe mpaka albamu ikamilike inachukua zaidi ya miezi minne yaani apate vijinyimbo vingine vya kujazilizia, hii nayo inachukua muda. Wimbo mmoja kutuwekea hapa sio ishu sana kwa sababu baada ya Oktoba 31 thamani yake itashuka hadi 13% au pungufu. Kuna maana gani kuficha habari inayotakiwa sasa kwa minajili ya kuuza baadae? Kwanza atapunguza gharama za uzinduzi wa albamu kwa sababu utakuwa umesha jizindua wenyewe kitakachofuata ni mauzo mfululizoooo!!!!

Kwa maoni yangu mwenye no auweke hapa wananchi tujisikilizisheeee!!!!!!
 
Wimbo wenyewe ndiyo huo ingawa audio siyo nzuri sana.

Last edited by a moderator:
Tathimini ya uongozi wa ccm na Mh.Kikwete tunaiweza kuipata kwa lugha nyepesi hapa.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom