NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Kwa wale wapenzi wa MUSIC watakuwa wameusikia huu wimbo ammbao unatamba sana hivi sasa. Nimependa sana mpangilio wa ngoma zinvyopigwa ila sifahamu kinachosemwa ni nini nachosikia ni neno alaji x 10. Kuna mwenye kuufahamu huu wimbo vizuri -unasema nini/una maana gani?Nasikia ni wa west Africa au central. Sina uhakika kama nimepatia spelling za jina la wimbo wenyewe.Najaribu kuuweka hapa ambao hawajisikia wausikie ila unafail.